
Timu ya taifa ya Basketbal USA wamefaulu leo kuingia kwenye fainali ya kombe la dunia inayochezwa huko Spain baada ya kuilaza bila usumbufu timu ya Litouwen mjini Barcelona. Mchezo ulimalizika kwa vikapo 96-68, lakini katika kipindi cha kwanza ushindi huo ulikua bado kuonekana sababu walikua kwenye vikapo 43-35, lakini sprint moja ya robo ilitosha sababu walikua na vikapo 33-14.
Mfungaji bora ni Kyrie Irving wa NBA-club na alama 18.
Usikose ku comment Page yetu , Kwajili ya maendeleo ya lugha yetu ya kiswahili ulimwenguni pote. Pia Sikiliza 24 hours Rado Umoja kupitia anwani www.umojaradio.listen2myaradio.com, pia tu contact kupitia Facebook yetu: Umojaradio NGG ao page yetu Umojaradio. Wasiliana nasi pia kupitia email: umojaradiongg@gmail.com
Geen opmerkingen:
Een reactie posten